Sportybet Ni miongoni mwa kampuni za kubeti mtandaoni nchini tanzania.sportybet imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania tangu 2018. Katika makala haya tutaeleza Hatua za kuweza kujisajili Sportybet Tanzania
Yaliyomo
Kufungua account ya Sportybet
Kuweka pesa Sportybet Tanzania
Kutengeneza password ya Sportybet tanzania
Mawasiliano ya Sportybet Tanzania
- Kujisajili Sportybet Bet tanzania
Ili kuweza kufungua account yako ya Sportybet tembelea tovuti ya sportybet au APK ya Sportybet tanzania au Bofya tovuti ya sportybet www.sportybet.com/tz Kisha Jaza namba yako ya simu mfano 07666053.. Kisha Jaza password yako utakayoikumbuka katika password yako ya Sportybet Tanzania hakikisha Ina vitu vifuatavyo
- Password ya Sportybet lazima iwe na tarakimu na herufi name
- Lazima kuwe na herufi ndogo moja au zaidi
- Lazima kuwe na herufi kubwa moja au zaidi
- Lazima ijumuishe namba moja au zaidi
- Kwa mfano, Tanganyika8 , kilimanjarO9, Mtakujatena5
Kuweka Pesa Sportybet
Ili uweze kuweka pesa kwenye account yako ya Sportybet hakikisha unasalio katika account yako ya kifedha katika simu yako.
Unaweza kuweka pesa Sportybet kwa njia zifuatazo
- Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa M-PESA
- Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa Tigo pesa
- Kuweka pesa Sportybet Tanzania kwa Airtel Money
Ingia sehemu palipoandikwa deposit Kisha Weka kiwango, chagua mtandao, Weka namba ya Siri kukamilisha kudeposit katika account yako ya Sportybet Tanzania
Bofya Hapa kusoma : Kampuni Bora za kubeti Tanzania
Mawasiliano ya sportybet
Unaweza kuwasiliana na Sportybet tz kupitia mitandao ya kijamii, live chat katika account yako ya Sportybet au katika namba ya simu ya Sportybet Tanzania
- email address tanzania.support@sportybet.com
Help link https://www.sportybet.com/tz/m/support