MKAZI wa Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Bernard Mwingira ameuaga umasikini baada ya kuibuka mshindi wa 'Jackpot' na kujinyakulia kiasi Cha Sh 250,000,000/= kupitia kampuni ya michezo ya kubashiri ya (BetwayTanzania).
Akizungumza wakati wa kukabidhiwa hundi yenye kiasi hicho cha fedha katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam jana, Ndugu, Bernard Mwingira pamoja na mambo mengine amesema ushindi huo umempa faraja kubwa huku akiwataka wadau wengine wa mchezo huo kuiamini kampuni hiyo na kubashiri nayo kila wakati
Kutembelea na kubeti na kampuni ya betway Tanzania Bofya >Hapa>
Endela kutembelea mtandao huu kwa habari za betting kitaifa na kimataifa