Screenshot ikionesha madau yaliyowekwa odds za ushindi pamoja na kiwango walichoshinda kwenye Aviator |
Mchezo wa Aviator umezidi kuwa maarufu barani africa na Duniani kwa ujumla huku ukizidi kuongeza washindi kila siku ambapo ushindi mkubwa zaidi wa Aviator ya spribe Ni ule kutokea Ghana ambapo mchezaji wa Aviator alishinda zaidi ya Bilion 1.2 kwa dau la tsh 4000 Mara mbili.
Jinsi ya kucheza Aviator
Kwanza unatakiwa kujisajili katika kampuni ya kubeti yenye michezo hiyo ya Aviator au kindege baadhi ya kampuni zenye mchezo wa Aviator Ni hizi
1. 888bet Tanzania Jiunge kwa kugusa
2. Gal sport Tanzania Jiunge kwa kugusa >Hapa>
3. Betway Tanzania Jiunge kwa kugusa >Hapa>
Baada ya kujiunga na kampuni mojawapo yenye mchezo wa kindege au Aviator Sasa unatakiwa kudeposit kwenye account yako Kisha Bofya penye kindege au palipoandikwa Aviator.
Baada ya hapo utatakiwa kuweka dau lako mfano tsh 200 na kusubiri round mpya ianze hakikisha ume stake (Weka dau) baada ya hapo au round mpya kuanza itakuonesha pesa yako ikiongezeka kutokana na odds za kindege zinavyopanda. Hapa utatakiwa ku cashout (kuchukua ushindi ) kabla kindege hakija dondoka(kuungua) hakuna muda maalumu wa kindege kupeperuka au kuungua hivyo wewe utatakiwa kukiwahi na ku cashout ushindi wako. Endapo utachelewa Basi unakuwa umepoteza kwa round hiyo. Cha Muhimu Ni kufahamu hakuna muda maalumu wa kindege kupeperuka(kuungua ) na odds huanza Mara 1.00 ya dau lako na kuendea
PICHA IKIONESHA ODDS MBALIMBALI AMBAZO KINDEGE KIMEPEPERUKA
Odds zikionesha round zilizopita ambapo nisawa na ukomo wa alama za kindege kilipokaa angani. |
Mbinu zitakazo kusaidia Kushinda mkwanja kwenye Aviator
✓Hakikisha huchezi kwa tamaa Wala uwoga
✓ Dhibiti hasira zako
✓ jaribu kufuatilia history ya round zilizopita hii inaweza kutoa taswira ya round zijazo Kama round zilizopita zaidi ya nne au tano hazikufikia 2.0 Basi round nyingine 3-6 zinaweza kuzidi hapo Mara nyingi ushindi huweza kuongozana mfululizo au kupoteza (alama za chini zinaweza kuongozana zaidi ya Mara nne.
✓ Cheza kwa muda mrefu kwa dau Dogo , hii itakusaidia kuweza kuuusoma mchezo na kujua tabia yake na hivyo kuweza kung'amua round za hatari.
Je unaweza Kushinda Kiasi gani kwenye Aviator?
Kwa kampuni nyingi huwa na kiwango Cha mwisho Cha Kushinda katika mchezo wa Aviator kwa round moja kwa mchezaji mmoja. Kwamfano kwenye round moja katika kampuni ya 888bet kiwango Cha mwisho Ni milioni 59, Kama pesa uliyoweka ikipanda kufikia Milion 59 ( kwamfano umeweka 1000 kindege kikapanda kufikia Mara 59,000 ikiwa huja cashout, (kuchukua ushindi Basi ita cashout yenyewe na utakuwa umeshinda kiwango Cha mwisho Cha milioni 59, hivyo Subiri round ianze upya.
FAIDA ZA KUCHEZA AVIATOR
zipo faida mbalimbali za kucheza mchezo wa Aviator, kwanza ushindi wa hapo kwa hapo, vile vile ushindi huo haukatwi Kodi, mchezo huu pia inapatikana muda wote 24/7
Hitimisho:
Nakutakua uchezaji mwema , kumbuka kucheza kistaarabu na kucheza kiwango kile unachoweza kuhimili ukipoteza.