Kampuni ya kubeti ya Helabet Tanzania ndiyo kampuni nzuri zaidi ya kubeti Tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria kufanya na kuendesha shughuli za michezo ya kubeti Tanzania. Helabet Tanzania imesajiliwa kwa taarifa zifuatazo " CHEZA IT SOLUTIONS - registered mailing address, P.o.Box 55055, Ubungo, Dar es Salaam
The provider of this website, is licenced by the Gaming Board of Tanzania under the Gaming Act, Laws of Tanzania, to carry out Internet Sports Betting Business under the License number SBI000000045"Kampuni ya Helabet Ni yakipekee kutokana na ubora wake na jinsi inavyotoa huduma nzuri kwa wateja wa Helabet tanzania
Hizi hapa sababu za Kwanini ubeti. Mkeka wako na Helabet Tanzania
- Bonasi ya ukaribisho ya Hadi 350,000kwa wateja wapya watakaojidajili na kuweka pesa kwa Mara ya kwanza katika account zao za Helabet tz. Kampuni ya Helabet umeamua kuwakwamua wote wanaoanza kubeti na Helabet Tanzania kwa kuamua kutoa Zawadi au Bonasi ya Helabet ya Hadi 350,000 kwa kila mteja mpya atakayejisajili na kuweka pesa katika account yake ya Helabet Tanzania.
Kumbuka Bonasi utakayopewa Ni sawa na 100% ya kiasi utakachodeposit kwa Mara ya kwanza kwamfano Kama utaweka 10,000 Bonasi Ni 20,000 hivyo kupata Bonasi ya kutosha hakikisha unaweka pesa yakutosha katika account yako Kama utaweka 1000 tegemea kupata Bonasi 2000.
- ODDS KUBWA ZA KUBETI KULIKO KAMPUNI NYINGINE TANZANIA
Kampuni ya kubeti ya Helabet Tanzania hutoa odds kubwa kwa wateja wake hivyo kuwa na uhakika wa Kushinda mkwanja mrefu kuliko kampuni nyingine za kubeti mtandaoni nchini Tanzania .
- HUDUMA NZURI KWA WATEJA PAMOJA NA MACHAGUO MENGI
Kampuni ya kubeti ya Helabet Tanzania hutoa huduma nzuri kwa wateja wake ikiwa nipamoja na kutoa msaada pale mteja atakapokwama . Kwa upande wa machaguo mengi Kama ujuavyo ili uweze Kushinda mkwanja mrefu utahitaji kuwa na options nyingi mbalimbali ambazo hupatikana ndani ya Helabet hivyo kuwa na uhakika wa ushindi zaidi.
- BONASI YA HADI 1,250,000 KAMA UMEPOTEZA MIKEKA 20 MFULULIZO
Kwa bahati mbaya Kama kila mkeka unapoweka umechanika Hadi kufika 20 unaweza kuomba Bonasi yako ya Hadi zaidi ya Milion moja kutegemea na kiasi ulichokuwa una poteza katika kila beti yako
Hakikisha umesoma vigezo na masharti kabala ya kuomba Bonasi hiyo kupitia barua pepe hii en@helabet.com
HATUA ZA KUJIUNGA HELABET TANZANIA
Kujiunga ama kufungua account ya Helabet Tanzania sio Jambo gumu , nirahisi kuanza kutumia Helabet tz katika kuanza kuweka mikeka yako na kuwa katika nafasi kubwa zaidi ya kupata ushindi. Fuata Hatua hizi ili uanze kubeti na helabeti Tanzania
1. Fungua tovuti ya Helabet tz(www.helabet.co.tz) au Bofya >HAPA> promo code ya Helabet tz Jaza A84
2. Ingiza namba yako ya simu bila kuanza na 0 kwamfano 76665392
3. Bofya tuma sms (send sms) utapokea code maalumu katika namba ya simu uliyojaza Kisha Kisha dhibitisha (confirm)
4. Kamilisha usajili wako kwa kubofya jisajili (Register) na uanze kutumia Helabet Tanzania. Kukamilisha usajili Bofya sehemu palipoandikwa Profile (wasifu ) na kamilisha taarifa zako.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA HELABET TANZANIA
NJIA ZA KUWEKA PESA (KUDEPOSIT HELABET TANZANIA)
unaweza kudeposit Helabet Tanzania kwa njia ya Mpesa , Tigo pesa, halopesa na kutumia njia hizo hizo wakati wakutoa pesa kwa urahisi
JINSI YA KUPAKUA APK YA HELABET TANZANIA ( download Helabet tz apk)
Kupakua app ya Helabet Tanzania nirahisi unaweza kupakua app yako ya Helabet katika simu yako ya Android au ions, Ingia katika tovuti ya helabet.co.tz na Bofya install app hakikisha katika simu yako umeruhusu kupokea app nje ya playstore Kama bado fanya hivyo katika setting.
Hitimisho
Katika kampuni ya Helabet tanzania unaweza kubeti michezo mbalimbali Kama vile mchezo wa mpira wa miguu, tenesi, kriketi, ngumi, miruko, michezo ya barafu na michezo mingine mbalimbali tembelea www.helabet.co.tz kwa taarifa zaidi