Bookeebet Tanzania ni miongoni mwa kampuni mpya za kubeti mtandaoni nchini Tanzania. Bookeebet tz ilianza kufanya kazi zake Tanzania tangu mwaka 2022. Bookeebet Tanzania imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za michezo ya bahati nasibu Tanzania kwa taarifa zifuatazo: "the gaming plug limited trading as https://Bookeebet.co.tz is licensed and regulated by the Tanzanian gambling Board company registration number 144438396 license number SB 10000000038"
Yaliyomo
Bookeebet Tanzania
Kujisajili bookeebet tanzania
Bookeebet apk download
Kuweka na kutoa pesa bookeebet
Mawasiliano ya bookeebet Tanzania
- Bookeebet tanzania : ndani ya bookeebet ipo michezo mbalimbali Kama vile michezo ya mipira ya miguu, ligi mbalimbali kwamfano, ligi kuu Uingereza, Ufaransa, ujerumani, Italia, Tanzania, uholansi na nchi nyinginezo vile vile unaweza kucheza michezo ya kasino kupita Bookeebet Tanzania
- SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA BOFYA >HAPA>
Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0 Kisha Weka Alana ya kitiki kudhibitisha umri wako Ni juu ya miaka 18 Kisha Bofya next |
Baada ya kujaza taarifa hizo Bofya register kukamilisha usajili wako wa bookeebet Tanzania |
Bookeebet Tanzania apk download
Ili uweze kupakua app ya bookeebet Tanzania hakikisha simu yako Ina bando kwaajili ya kupakua apk ya bookeebet Kisha Bofya >Hapa >kupakua
Jinsi ya kuweka na kutoa pesa bookeebet
Ili uweze kutoa na kuweka pesa kwenye account yako ya bookeebet Ingia kwenye tovuti ya bookeebet tz au katika app ya bookeebet Tanzania na ubofye TOA au Weka pesa kwenye bookeebet Kisha fuata maelekezo.
Hitimisho
Kupata taarifa zaidi kuhusu bookeebet Tanzania tembelea tovuti ya bookeebet Tanzania
Kampuni nyingine za kubeti Tanzania Soma zaidi hapa