Katika makala hii imeelezwa jinsi ya kufungua account ya Meridianbet Tanzania
Unaweza kujiunga Meridianbet kwa kugusa >>HAPA>> promo code ingiza 1109
Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika ubashiri au michezo ya bahati nasibu kwa jina lingine maarufu kama ‘Kubeti’.
Kampuni hii kwa sasa ina maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. Pia, hata katika huduma zao kwa njia ya mtandao (online betting) ni za kiwango cha kuridhisha wakiwa na chaguzi nyingi (options) za bashiri na odds za kuridhisha.
Ukiwa na Meridianbet unaweza kubeti, au kubashiri kwa kiwango cha chini kuanzia hata kiasi cha TShs. 100 na pia wanazo njia nyingi za kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako.
Kama hujaweza kujiunga na Meridianbet fuata maelekezo haya hapa chini uweze kujiunga na kucheza ili uanze kufurahia ushindi wako ukifurahia huduma zao bomba.
HATUA YA 1.
Fungua tovuti ya Meridianbet kwa kubofya hapa MERIDIANBET TANZANIA na kisha bofya sehemu iliyoandikwa REGISTER au JISAJILI kama utakuwa umechagua lugha ya Kiswahili.
Kujiunga Meridianbet Tanzania |
HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya REGISTER au JISAJILI itafunguka fomu ambayo utajaza taarifa zako kisha utabofya next kuendelea na hatua itakayofuatia na katika fomu hii utajaza vitu vifuatavyo:
- Majina yako
- Namba ya simu
- Password/Neno la siri
- Tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa
- Anuani
Pia, kumbuka kutiki sehemu yenye ‘kibox’ iliyoandikwa Terms and Conditions” au “Vigezo na Masharti” kuonesha kuwa umekubaliana na masharti ya Meridianbet.
HATUA YA 3
Baada ya kuwa umebofya next fomu itakupeleka katika hatua ya pili ambapo pia utajaza taarifa zako ambazo ni:
- Jinsia
- Address/Anuani yako
- Mji unaoishi
- Namba yako ya simu (kumbuka namba yako hii ya simu ndiyo utakayokuwa unaitumia kutoa na kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet)
- Promo code (hapa unatakiwa kuweka tiki katika kibox kilichopo hapo na kuweka promo code kama unayo, ikiwa hauna unaweza kuendelea bila hiyo)
- Kisha unaweza kuweka tiki katika Newsletter kama unahitaji kuwa unatumiwa taarifa mbalimbali katika email yako.
HATUA YA 4
Baada ya hapo utabofya kwenye register/jisajili kisha utatumiwa namba ya kuthibitisha akaunti yako kupitia namba yako ya simu uliyoandika ambapo. Login kwa taarifa namba ya simu na password kisha weka namba ulizotumiwa ili kuactivate akaunti yako.
Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kujiunga na Meridianbet na unaweza kuingia kwa kutumia namba yako ya simu na password uliyochagua tayari na kuanza kuweka mikeka yako.
KUTAMBUA NAMBA YAKO YA AKAUNTI YA MERIDIANBET
Ni muhimu kutambua namba yako ya akaunti ya Meridianbet kwani ndiyo utakayokuwa unaitumia kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet ikiwa kama reference number au namba ya kumbukumbu ya malipo.
Ili kuweza kuitambua namba yako ya akaunti baada ya kuwa umeingia katika akaunti yako ya Meridianbet bofya sehemu iliyoonesha email yako. Baada ya kufanya hivyo utaona sehemu iliyoandikwa Account ID na hizo namba ndiyo namba zako za akaunti.
Hapo unaweza kuweka dau la lako kuanzia Shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.
Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia Meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi sana kukusaidia.
Chanzo meridiansports.co.tz