Wasafibet Tanzania |
Kampuni za michezo ya bahati nasibu ODBET Kenya na wasafi bet zinatarajia KUPELEKA WATEJA wake kutazama Kombe la Dunia nchini Qatar ili uweze kuchaguliwa unatakiwa kutimiza vigezo kadhaa ikiwa nipamoja na kubet na ODBET au Wasafi bet
ODBET kenya |
Soma kwa undani Tangazo husika
✈️ TWENDE QATAR NA WASAFIBET!! 🇶🇦…
TUNATAMBULISHA PROMOSHENI YETU MPYA YA TWENDE QATAR NA WASAFIBET 2022..
SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA
Lengo la safari hii ni kuona wateja wetu wa kushinda safari ya Qatari wateja wetu wakishinda safari ya kwenda kufurahia tukio la Mara moja katika maisha nchini Qatar🎉
Ili kushiriki, mteja unatakiwa kuweka mkeka wa kuanzia mechi 5 na kuendelea, kila mechi iwe na odds 1.5 na kuendelea na dau kuanzia shilingi 2,000/= na utaingia moja kwa moja kwenye droo ambapo utapata nafasi ya kujishindia safari ya kwenda Qatar pamoja na zawadi nyinginezo.
Zawadi: - Safari ya kwenda kutazama na kujionea ukuu wa ajabu nchini Qatar.
- Aina mbalimbali za Bidhaa za Wasafibet kama vile: Hoodies, Tshirt na chupa za maji.
- Bonasi za pesa taslimu kila siku - Tsh 10,000/= kwa washindi 50 kila siku kwa siku 60.
WALE TWARUKA PRIIIII!✈️🔥
🔞 Cheza kistaarabu!
Vigezo na Masharti kuzingatiwa #MkwanjaKilaBeti #TwendeQatar