Kuweka pesa sportpesa |
Sportpesa| sportpesa download tz apk | app ya sportpesa | sportpesa Jackpot | kuwekapesa sportpesa| www.sportpesa.co.tz
Introduction
Katika makala hii tutaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuweka pesa sportpesa
Sportpesa ni kampuni ya michezo ya kubeti inayohusisha kubeti mpira wa miguu pamoja na kasino za mtandaoni.
Sportpesa kwa Sasa huendesha shughuli zake Tanzania na Kenya.
Contents
Kuweka pesa sportpesa
Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa kupitia mitandao ya Vodacom, Airtel, Halopesa au Tigo:-
Ukishamaliza kujisajili, kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo:
SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI MTANDAONI TANZANIA
Hatua ya kwanza
Fungua menu kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.
- Vodacom M-Pesa: 150888
- Airtel Money: 150888
- Tigo Pesa: 150888
- Halopesa: 150888
Hatua ya pili
Akaunti yako ya SportPesa itaongezewa pesa moja kwa moja. Kisha utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka SportPesa kwa muamala huo
Mf. TZS 2000 imepokelewa! Salio kwenye akaunti yako ya S-PESA ni: TZS 2000.
Hatua ya tatu
Sasa upo tayari kucheza. Anza sasa!
Tazama link hapo chini kupata taarifa zaidi kuhusu makato ya kuhamisha pesa kwa mitandao ya Vodacom, Airtel, Tigo na Halotel.