Mkekabet apk tz |
Kampuni ya kubashiri ya mkekabet ilipotea hewani tangu juni 20 huku ikiwa haipatikani katika tovuti yake na katika mitandao ya kijamii
WADAU WALALAMIKA.
Wachezaji mbalimbali waliokuwa wakicheza na kampuni hii wamelalamika kutokana na miamala yao kukwama huku wasijue chakufanya.
TUMEJARIBU KUWATAFUTA
Juhudi za kuwasiliana na mkekabet hazikufua dafu kwani wagajatoa taarifa yeyote Wala kujibu ujumbe wetu.
NINI KIMETOKEA?
kwakuwa mkeka beti hawajatoa taarifa yeyote hakuna anayejua Nini KIMETOKE
Soma pia >Kampuni Bora za kubeti Tanzania
SIO HALI YA KAWAIDA
Kwa kawaida linapotekea tatizo la kiufundi au matengenezo hutolewa taarifa lakini mpaka sasa mkekabeti hawajatoa taarifa yeyote.
ILIWAHI KUTOKEA?
Ndio, kwa Tanzania kampuni Kama Wakabet, na M-cheza ziliwahi kupotea ghafla na hazikuwahi kuonekana tena huku M-cheza ikiendelea kuendesha shughuli zake Kenya.
TUNAENDELEA KUTAFUTA TAARIFA
Mdau wetu tunaendelea kutafuta taarifa kuhusu mkeka beti endelea kufuatilia mtandao huu.
Mkekabet matapel
ReplyDeleteTena kabisa unalipia ela ujui inapoenda
DeleteKampuni yenu inatupatia changamoto sana
ReplyDeleteYani mtu unalipia harafu uoni Tena pakuiñgia kampuni yenu mnafanya tunawachukia
ReplyDelete