Mchezo wa aviator |
Kucheza mchezo wa aviator kumekuwa maarufu hivi karibuni baada ya kampuni mbalimbali za kubashiri kuanzisha mchezo huu, maarufu Kama aviator huku kampuni nyingine zikiuuta majina tofauti tofauti Kama CrazyRocket, 1xbet plane, na aviator.
Mchezo huu huhusisha kurusha ndege angani na kukadiria muda ambao ndege hiyo huweza kuondoka na ku cash out kabla ya ndege kuondoka.
Ods huanza kupanda kuanzia 1.00 na kuendelea. Kadri mchezaji atakavyosubiri ndivyo ods hupanda zaidi. Lakini nivyema ufahamu kuwa kadri unavyozidi kusubiri bila kucash out mapema ndivyo unavyokuwa kwenye hatari ya kupoteza zaidi.
KAMPUNI ZENYE MCHEZO MZURI WA AVIATOR.
1. PREMIERBET AVIATOR ; mchezo huu inapatikana ndani ya premierbet Tanzania kujiunga Bofya>>HAPA>>
2. PMBET AVIATOR, mchezo huu hupatikana pia ndani ya app ya Pmbet Tanzania kwa jina la crazy roket
Kujiunga na Pmbet Aviator Bofya >>HAPA>>
FAQ
Maswali yanayoulizwa sana.
1. Jinsi ya kucheza aviator
Jibu: kwanza unatakiwa kuwa na salio katika account yako, kisha chagua aviator, weka kiasi cha bashiri mfano 50 kisha angalia ods na ndege zinavyopanda kisha utatakiwa ku cash out kabla ndege haijadondoka ili kupata mpunga wako
2. Unaweza kuacha ndege ipae mpaka muda gani?
Jibu:
Hakuna muda maalumu ambao umewekwa kukaa angani, muda wowote ndege inaweza kudondoka na Kama hujacash out unakuwa umepoteza.
Naomba kucheza
ReplyDelete