Utangulizi
Sportpesa Tanzania ni miongoni mwa kampuni za kubashiri michezo ya mpira wamiguu mtandaoni nchini Tanzania. Vile vile kampuni hii hufanya kazi hiyo hiyo kwa upande wa keya.
Usajili wa sportpesa
Kampuni ya sportpesa imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za udhibiti wa michezo ya bahati nasibu Tanzania kama
SPORTPESA LTD , TIN 130-393-985
Reg. Company N.123072
Tanzania ,Dar es salaam, kinondoni District
Office address PENISULA HOUSE, TOURE DRIVE251, OYSTERBAY, DAR ES SALAAM, P.O.BOX N: 23135.
Tovuti ya sportpesa
Sportpesa app na kujisajili kwa sportpesa unatakiwa kuingia katika tovuti www.sportpesa.co.tz kwa upande wa Tanzania na www.sportpesa.co.ke kwaupande wakenya.
MICHEZO INAYOPATIKANA KATIKA APP YA SPORTPESA
Ndani ya sportpesa kuna mteja anaweza kubashiri michezo mbalimbali ikiwemo michezo ya mpira wa miguu, poka, gofu, kriketi, table tennis, basketball, bassball, handball, na michezo mbalimbali ya kasino.
JACKPOT YA SPORTPESA.
Kwasasa kampuni ya kubashiri ya sportpesa inaendesha jackpot mbili moja ikiwa ni ile ya katikati ya wi, na jackpot ya mwisho wa wiki.
SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA KWA KUBOFYA HAPA
Jinsi ya kujisajili sportpesa
Ingia katika wavuti
Bofya sehemu palipoandikwa jisajili
Jaza taarifa zako
Kamilisha usajili.
Namba za kuweka hela kwenye account yako ya sportpesa
VODACOM 150888
AIRTEL 150888
TIGO PESA 150888
HALOPESA 150888
ZANTEL 150888
Mawasiliano ya sportpesa huduma kwa wateja, 0764115588, 068511588, 0677115588.
FAQ
Maswali yanayoulizwa sana kuhusu sportpesa
Jinsi ya kushinda jackpot sportpesa?
Jinsi ya kujisajili sportpesa?
Jinsi ya kubeti?
Jinsi ya kudownload app ya sportpesa
Hitimisho unaweza kusoma zaidi kuhusu sportpesa kwa kutembelea www.masshele.com au katika tovuti nyingine mtandaoni .
Mimi ninashida nilikuwa natumia sportpesa cm yangu niliistoo application ya sportpesa haipo kila on kijitaidi kuirudisha nimeshindwa
ReplyDelete