Katika mkeka wake Yustar Mubee aliweka dau la 3000 nakunshinda Bet MILIONI 30 |
Mwanadada Yustar Mubee ametusua mkwanja wa maaana baada ya kuweka mkeka wa tsh 3000 wenye jumla ya timu 15 nakufanikiwa Kushinda kitita cha MILIONI 30.
Akieleza Siri ya ushindi amesema nikujiamini na kutokata tamaa. Aidha wakati wakukabidhiwa mpunga huo meneja wa playmaster Tanzania amewasihi watanzania kuendelea kucheza na Kushinda na Pmbet