Dar es salam, Kitabu hicho kilichoainisha fursa mbalimbali za kidigitali kimezinduliwa leo rasmi jijini Dae es salaam
Aidha katika uzinduzi huo nilipozungumza na mwandishi wa kitabu hicho ndg Emanuel ameeleza kuwa kitabu hicho ni kwaajili ya wale wote wanaosaka fursa za kidigitali katika makundi yote akitaja baadhi ambao ni vijana, wanafunzi, waalimu, wanamuziki, waandishi pamoja na wafanya biashara.
Akitaja baadhi ya fursa zinazoelezwa katika kitabu hicho mwandishi amesema kuwa katika kitabu chake ameeleza namna mbalimbali za kuuza bidhaa za kidigitali mtandaoni kama vile vitabu (E-books) kuuza muziki mtandaoni, kuanzisha duka mtandao, mbinu za kufundisha mtandaoni, kuuza kozi na notes mtandaoni, uuzaji wa maudhui mtandaoni, kuwa freelancer wa kidigital, YOUTUBE, miongoni mwa fursa nyingine za kidigital.
Vilevile amesema kuwa kitabu hicho kimeanza kuwa dukani tangu tarehe 23 ya January 2022. Nakuongeza kuwa kwa wale wanaohitaji kitabu hicho wawasiliane kwa simu 0766605392