Kuelekea mchezo wa Dar Derby 25. 9.2021 huu hapa uchambuzi wa kiutabiri kwaajili ya wale wadau wa uwekezaji wa ndani ya dk 90 .
MATOKEO KATIKA MECHI TANO ZA NYUMA ZA HIVI KARIBUNI
3, july 21 Simba vs Yanga 0-2
13, january21 Yanga vs Simba 0-0
7, nov 20 Yanga vs Simba 1-1
8, may 20 Yanga vs Simba 1-0
4, jan 20 Simba vs Yanga 2-2
ODS ZA MCHEZO
SIMBA VS YANGA
Simba kushinda 30%
Yanga kushinda 30%
Sare ndani ya dk 90 40%
Idadi ya magoli chini ya 2, 70%
CORECT SCORE , 0-0 , 50% 1-1 %40 0-1 %5 2-2%5
MATOKEO YA JUMLA X2%99 , OTHERS %1
INGIA MKEKANI BOFYA >>HAPA>>