-kuweka mpesa primier bet
-kuweka tigo pesa primier bet
-kuweka airtel money kwenye primier bet
Fuata hizi hatua hapa
1. Fungua account yako ya primier bet kwa kubofya HAPA
2. Ukisha fungua na kulog in bofya sehemu iliyoandikwa deposit
Baada ya hapo fuata hatua no
3.
Ingiza kiasi unachotaka kudeposit katika account yako
Baada ya hapo nenda hatua no
4. Chagua njia ya malipo mfano tigo pesa
Kisha endelea hatua namba tano proceed
5.
Baada ya hapo ingiza no yako ya simu Bila kuanza na 0 mfano 766605392 kama ni Mara yako ya kwanza kudeposit kisha bofya submit
6.
Baada ya hapo utaletewa code katika namba yako ziweke hizo code Bila kukosea katika kisanduku kinachoonekana
7.
Hatua ya mwisho utaletewa kumbukumbu namba pamoja na namba ya kampuni iandike kisha ingia kwenye menyu ya mpesa au tigo pesa ukamilishe malipo ufurahie ushindi.
Kumbuka kila unapotaka kudeposit utafata maelekezo haya, na kumbukumbu namba hubadilika kwa kila muamala
Meona
ReplyDelete