Umewahi kusikia kuhusu tiny Roullete?
Hapa tutajifunza namna ya kucheza na kushinda na primerbet
Hata
1.fungua account ya primier bet kwa kubofya HAPA
2.log in kwenye account yako kisha bofya virtual Game kumbuka kuweka fedha kwenye account yako na dau la chini la kucheza michezo Huu ni Tsh 50
Kujua namna ya kudeposti Bofya HAPA
3 .baada ya kubofya hapo itakuletea magame sasa wewe chagua ulioandikwa Tiny Roullete una namba 12
4. Baada ya hapo chagua class utakayopenda kucheza kama inavyoonekana katika picha
6. Hatua inayofuata ni ya wewe kuchagua namba itakayo shinda mfano 7 au unaweza kuchagua namba zaidi ya moja mfano 5, 6, 7 au unaweza kuchagua kuwa namba yenyewe rangi nyeusi itashinda au namba inayogawanyika kwa mbili au la au namba zote kuanzia 1-5, 6-12 utakavyo penda
8. Zungusha/spin na usubiri ushindi wako kisha rejea kuspin kadiri uwezavyo